Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 102,675 Reaction score 126,928 Oct 3, 2024 #61 Makupa said: Ya kugawa watanzania siwezi kubeba hiyo laana aisee Click to expand... Basi tulia kwa mumeo
Makupa said: Ya kugawa watanzania siwezi kubeba hiyo laana aisee Click to expand... Basi tulia kwa mumeo
O One day one time Senior Member Joined Dec 29, 2011 Posts 122 Reaction score 170 Apr 23, 2025 #62 Ili swali limenijia hv Mnyika yupo kweli anazunguka mikutanoni mara ya mwisho ni katika twitter yake ya kuto sign vipi yupo wap ndugu yetu.
Ili swali limenijia hv Mnyika yupo kweli anazunguka mikutanoni mara ya mwisho ni katika twitter yake ya kuto sign vipi yupo wap ndugu yetu.
zitto junior JF-Expert Member Joined Oct 7, 2013 Posts 24,534 Reaction score 40,575 Apr 23, 2025 #63 Ludoby said: Ili swali limenijia hv Mnyika yupo kweli anazunguka mikutanoni mara ya mwisho ni katika twitter yake ya kuto sign vipi yupo wap ndugu yetu. Click to expand... Yupo mbona, juzi tu hapa amepostiwa na media kadhaa akiwa mikoani kutoa semina na mafunzo kwa viongozi wa chadema. Katibu mkuu ni administrator so kazi zake nyingi ni za back office kuliko majukwaani.
Ludoby said: Ili swali limenijia hv Mnyika yupo kweli anazunguka mikutanoni mara ya mwisho ni katika twitter yake ya kuto sign vipi yupo wap ndugu yetu. Click to expand... Yupo mbona, juzi tu hapa amepostiwa na media kadhaa akiwa mikoani kutoa semina na mafunzo kwa viongozi wa chadema. Katibu mkuu ni administrator so kazi zake nyingi ni za back office kuliko majukwaani.