Yu wapi Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika?

Ili swali limenijia hv Mnyika yupo kweli anazunguka mikutanoni mara ya mwisho ni katika twitter yake ya kuto sign vipi yupo wap ndugu yetu.
 
Yupo mbona, juzi tu hapa amepostiwa na media kadhaa akiwa mikoani kutoa semina na mafunzo kwa viongozi wa chadema.

Katibu mkuu ni administrator so kazi zake nyingi ni za back office kuliko majukwaani.
 
Back
Top Bottom