Umepita ukimya mrefu kidogo kwa huyu katibu mkuu wa chadema ambapo mara ya mwisho ililipotiwa amekimbilia kanisani kwa ibadala maalumu ya mfungo kuliombea taifa.
Baada ya hapo hatujaarifiwa nini kimeendelea baina yake na jeshi la polisi ambalo lilikuwa likimrafuta mpaka kupiga kambi kanisani
Lakini pia sisi wafuasi wa chadema tunahitaji kufahamu kiongozi wetu yuko wapi, anahali gani na kwanini yupo kimya
Asante