Lamwai ni nasikia ni mwanasheria wa CCM. Pia kwa sasa anafundisha somo la sheria katika vyuo mbambali. Mwaka 2010 nilimuona Tumaini University kituo cha Kurasini.
Hana jipya zaidi ya kuishiwa kila alichokuwa nacho alipokuwa NCCR. Hilo ndo kosa la watu wengi katika siasa kurudi CCM.
pima mwenyewe na uone hapo kuwa huyu ni Dr. (PhD) na kapotea hivi then uniambie miaka mitatu ijayo hawa wafuatao itakuwaje:
...
- Shonza
- Mwampamba
- Tambwe Hiza
- Kabouru
- Shitambala
...
\ongeza wa kwenu pia
Kwani ulikuwa huna habarri kuwa kazi ya wanamagamba ni kama mtu anayetafuna muwa,wakati anautafuna anauona mtamu,lakini baadaye atauona muwa ule ushakuwa makapi,kwa hiyo hana budi kuyatupa. Ndiyo yaliyomkuta Masumbuko Lamwai, Tambwe Hiza na Kaburuu!! Hivi sasa masalia, akina Mwampamba na Shonza, wanafyonzwa kama miwa na CCM wenyewe wanajiona wamefika! Lakini siku magamba hayo yatakapobaini utamu wa muwa wanaoutafuna, ushakwisha utamu, na yamebaki makapi,wanamagamba hao watawatupilia mbali bila aibu yoyote, kama walivyowafanyia akina Lamwai!! I hope Message has been delivered!!Jamani hivi huyu mwasheria aliyewahi kuwa Mbunge siku za nyuma nadhani kupitia NCCR kama sikosei, yuko wapi siku hizi?mbona hasikiki ...
MWENYE HABARI ZAIDI JUU YAKE AZIMWAGE HAPAJAMVINI...
Lamwai anafundisha Tumaini University ndo dean faculty of law, pia anafundisha law school of tz na anafanya shughuli zake za uwakili maisha yanaenda. Alosoma kasoma tu
Lamwai anafundisha Tumaini University ndo dean faculty of law, pia anafundisha law school of tz na anafanya shughuli zake za uwakili maisha yanaenda. Alosoma kasoma tu
marehemu wa kisiasa na fikira kweshenipima mwenyewe na uone hapo kuwa huyu ni Dr. (PhD) na kapotea hivi then uniambie miaka mitatu ijayo hawa wafuatao itakuwaje:
...
- Shonza
- Mwampamba
- Tambwe Hiza
- Kabouru
- Shitambala
...
\ongeza wa kwenu pia
Du nimeipenda hiyoooooooooo Baada ya kimbunga hicho akaamua kurudi CCM na vyote akarudishiwa kasoro utu wake tu ndo CCM waliuchukuaMkuu sio alosoma kasoma. huyu jamaa alikumbwa na kimbunga kinachoitwa ''Hurricane Mkapa'' akasimamishwa kuwa lecturer UD, akaporwa leseni ya uwakili, mwanae akapata ajali akiendesha gari la dingi yake la ubunge. Baada ya kimbunga hicho akaamua kurudi CCM na vyote akarudishiwa kasoro utu wake tu ndo CCM waliuchukua.
pima mwenyewe na uone hapo kuwa huyu ni Dr. (PhD) na kapotea hivi then uniambie miaka mitatu ijayo hawa wafuatao itakuwaje:
...
- Shonza
- Mwampamba
- Tambwe Hiza
- Kabouru
- Shitambala
...
\ongeza wa kwenu pia
Mkuu sio alosoma kasoma. huyu jamaa alikumbwa na kimbunga kinachoitwa ''Hurricane Mkapa'' akasimamishwa kuwa lecturer UD, akaporwa leseni ya uwakili, mwanae akapata ajali akiendesha gari la dingi yake la ubunge. Baada ya kimbunga hicho akaamua kurudi CCM na vyote akarudishiwa kasoro utu wake tu ndo CCM waliuchukua.