A Aneel munawar JF-Expert Member Joined Aug 1, 2017 Posts 4,862 Reaction score 8,511 May 30, 2021 #21 road master said: Smart kwa kuwa anachekacheka ovyo!?? Click to expand... Mkuu mi namuona anajua mambo mengi.. Sasa ulitaka akunje sura awe na sura kama yako ..??
road master said: Smart kwa kuwa anachekacheka ovyo!?? Click to expand... Mkuu mi namuona anajua mambo mengi.. Sasa ulitaka akunje sura awe na sura kama yako ..??
L lulu za uru JF-Expert Member Joined Aug 7, 2015 Posts 2,710 Reaction score 3,392 May 30, 2021 Thread starter #22 juma mpemba said: Mkuu mi namuona anajua mambo mengi.. Sasa ulitaka akunje sura awe na sura kama yako ..?? Click to expand... Labda mambo ya chama na serikali Babie was muziki mwingine bwana..she was so so smart approach ya kuchokoza mada isiyochosha wala kukera,maswali ambayo hayana biazness ya papo kwa papo hiyo kija bint lindi hakuna lolote...
juma mpemba said: Mkuu mi namuona anajua mambo mengi.. Sasa ulitaka akunje sura awe na sura kama yako ..?? Click to expand... Labda mambo ya chama na serikali Babie was muziki mwingine bwana..she was so so smart approach ya kuchokoza mada isiyochosha wala kukera,maswali ambayo hayana biazness ya papo kwa papo hiyo kija bint lindi hakuna lolote...
Burnaboy JF-Expert Member Joined Dec 2, 2019 Posts 1,069 Reaction score 1,439 May 30, 2021 #23 Hakuna mtu wa Clouds humu? Hili swali wengi tunataka jibu.
glass amo JF-Expert Member Joined Aug 11, 2017 Posts 3,825 Reaction score 4,639 Jun 7, 2021 #24 Darmian said: Yeye ndo wa kwanza kuwa na hicho kipindi kabla ya Babie..yaani ndo waanzilishi yeye na kina Hudson Kamoga Huyo Babie watakuwa tu wameshindwana mikataba au kuna ugomvi tu umemfanya asepe..Kusaga naskia habembelezi na kuna staff pia wameliwa vichwa Click to expand... Sasa Kama n hivyo, mbona kwenye event za clouds hasa za biashara ana host?
Darmian said: Yeye ndo wa kwanza kuwa na hicho kipindi kabla ya Babie..yaani ndo waanzilishi yeye na kina Hudson Kamoga Huyo Babie watakuwa tu wameshindwana mikataba au kuna ugomvi tu umemfanya asepe..Kusaga naskia habembelezi na kuna staff pia wameliwa vichwa Click to expand... Sasa Kama n hivyo, mbona kwenye event za clouds hasa za biashara ana host?
glass amo JF-Expert Member Joined Aug 11, 2017 Posts 3,825 Reaction score 4,639 Jun 7, 2021 #25 Yupo Sana 360. Nenda hata kwenye bio yake
K Kamongo JF-Expert Member Joined Mar 20, 2009 Posts 2,361 Reaction score 2,718 Jun 7, 2021 #26 tinkanyarwele said: Hivi huyo binti ni mzawa wa mkoa gani hapa Tanzania? Click to expand... Mombasa kenya
tinkanyarwele said: Hivi huyo binti ni mzawa wa mkoa gani hapa Tanzania? Click to expand... Mombasa kenya
gnkoswe JF-Expert Member Joined May 6, 2017 Posts 247 Reaction score 122 Jun 7, 2021 #27 tinkanyarwele said: Hivi huyo binti ni mzawa wa mkoa gani hapa Tanzania? Click to expand... Ni Mkenya
tinkanyarwele said: Hivi huyo binti ni mzawa wa mkoa gani hapa Tanzania? Click to expand... Ni Mkenya
Bondpost JF-Expert Member Joined Oct 16, 2011 Posts 7,098 Reaction score 10,610 Jun 14, 2021 #28 Mwendazake alikuwa anammendea kweli
Azarel JF-Expert Member Joined Aug 25, 2016 Posts 29,020 Reaction score 40,793 Jun 14, 2021 #29 Ni Mkenya, kuna mada yake huku jamaa mmoja naye alidevelop obsession kwake.