Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,267
Ab-T sorry mimi habari hata siioni.... Am just interested na koti la muheshiwa, hivi katika ndege zao hawaweki koti la akiba... walau hata pasi...
Hahahaha...Mkuu wa Kaya huyo!
Ab-T sorry mimi habari hata siioni.... Am just interested na koti la muheshiwa, hivi katika ndege zao hawaweki koti la akiba... walau hata pasi...
was Dar es Salaam, so he regularly organises elections to legitimise his long reign.hii ndo uganda, utawala wa kibabe kibabe, mi nadhani M7 anamuogopa sana besigje, anataka kumshitaki kwasababu siku aliyopokelewa alipokelewa kishujaa na ma elfu ya watu waliokuwa hawaogopi wanajesh wala polisi isitoshe siku iyo ndo M7 alikuwa akiapishwa so wageni waliokuja pamoja na Kiwete walijionea wenyewe kwa macho pale pale walipopishana na msafari wa Besigye.
kwa siasa za ki africa hapa m7 anataka kumpoteza mwenzie ni vile tu waandishi wa habari wanakesha pale otherwise tungekuwa tunaongea mengine leo.
lol, long live besigye!
nilisikiliza mazungumzo NTV juzi apa
kati ya M7 na mwandishi wa kenya...aisee nilichoka kabisa M7 na majibu yake kuna watawala wanajisahau sana afrika na kujiona pasi wao hakuna mwingine atayeweza kuongoza nchi,mawili
1.ufisadi/ukatili unamsumbua
2.anataka kuwa mfalme
polisi/wajeshi wa ug ni wakatili sana,wanachapa watu live bila chenga
tha is to say that Dr Besigye is promoted to freedom fighter not a normal politician?