Mimi nina modem ya airtel single e8231s-1 niliunlock ikafanya kazi vizuri sasa ikawa nimichomeka kwenye pc inaomba update nilipoaupdate imejilock kabisa haiingi laini yoyote sasa nimejaribu nyia kadhaa kuisowngrade haitaki.. Msaada tafadhali