mkuu wapo wataalamu wengi sana humu wenye kujua hizo site ila kwa njia hiyo hapo juu huwezi unlock hizi modem ambazo ni customised firmware. amini ninachokuambia nimeshafanya risachi nyingi sana kuhusu hizi customized firmware.
ninafuatilia forum rulesLabda anatangaza biashara...
hata dc unlocker hawafungui. check kwenye site yao. nilishajaribu nikapata msg firmware not supported. nafkiri hata wakuu wengine humu wanalijua hilo.Ahaaa hapo nimekusoma kumbe zina customised firmware. .
Je hiyo custoised firmware haiweze kuwa updated ? Au modem iliyokuwa hivi kuwa updated lazima iuganishwe na kifaa fulani kama dc unlocker.?
Toa hata shule kidogo CP
hata dc unlocker hawafungui. check kwenye site yao. nilishajaribu nikapata msg firmware not supported. nafkiri hata wakuu wengine humu wanalijua hilo.
shule!! ngoja niandae material. lakini itawafaa wale wenye kufanya kazi ya unlocking maana kama m2 anamodem moja tu itam-kost, coz lazima uwe na a simple box ( not free)
Ndio mkuu ata mimi nilkuwa najua mkey ina unlock sasa tatizo kuipata kama unayo iupload mkuu au ata tupe link ya kuweza kuidownload for freeTigo New ModEm kwisha kazi
Baada ya kukaa macho masaa 48 nikihangaikia tigo modem kwisha kazi
Steps
1. Download mkey v.4.0.9 or later
2. Run mkey and easily unlock the modem with customized firmware (kama hz mpya)
It will permanently unlock the modem and the description is short and clear and looks some thing like this
Ndio mkuu ata mimi nilkuwa najua mkey ina unlock sasa tatizo kuipata kama unayo iupload mkuu au ata tupe link ya kuweza kuidownload for free
Tigo New ModEm kwisha kazi
Baada ya kukaa macho masaa 48 nikihangaikia tigo modem kwisha kazi
Steps
1. Download mkey v.4.0.9 or later
2. Run mkey and easily unlock the modem with customized firmware (kama hz mpya)
It will permanently unlock the modem and the description is short and clear and looks some thing like this
so mkuu unatumia software gani?
yani hiyo kuanzia v.4.0.9 ya mkey kuendelea zina unlock customized firmwares kama ulizozitaja ila ya tigo ni almost similar na hizo au kama ina kuzingua download moja ya hizo fimware ulizoziandika then install kwenye modem yako halafu mkey itaidetect halafu itaiunlock
sikiliza nimetumia njia nyingi kuunlock PERMANENTLY
1. Install customized firmware nyingine kama jamaa alizoonyesha hapo juu then tumia mkey kuiunlock
2. Using linux apt settings (works on linux only)
3. Using my brand new firmware (works but i am still testing it )
Mkey inapatikana online but kupata original shughuli sana but nita post link soon