Youtubers tukutane hapa

Nimeshindwa kuweka link hapa labda tutumie mbinu mbadala niisend yenyewe kama yenyewe
 
Mkuu natafuta channel ya kununua yenye Subscribers wengi
 
Mimi nina ka channel kangu kapya, Kanajihusisha na maswala ya Muziki! Yaani nina upload Beats & Acapella za miziki ya kibongo, Nisaidieni kukasupport

Tatizo linalonipa challenge ni copyright issues! Beats & Acapella nazoproduce mie niki upload mara zote nakutana na kipengere hiki sijajua namna ya ku bypass bot la YouTube lisizidi kunifanyia matusi hatimaye nifutiwe ka channel kangu bado kapya hakana hata maajabu sana...
 
Mimi leo nimeupload nonstop yangu ya bongoflava okdakool youtube..ambayo nimeimix mwenyewe lakini wameitoa nakusema kuwa kuna content za ngomma vas..sijaelewa kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hii ilinikuta pia mkuu, Sio poa nli upload Acapella ya Zuchu - Sukari ikatolewa, Sasa hapa nina MixTapes zangu 2 za Old Bongo Fleva nawaza namna ya kuziupload wasiziondoe..

Ila kwa sisi DJs naskia unaweza cheza na Tempo, Key ya nyimbo na korokoro nyingine lakini nilijaribu hiyo mbinu nikaishia kufutiwa mixes zangu.., Njia nyingine kutumia remix tracks em fikira Mix ina playlist ya nyimbo 100 utazi Remix zote uzimalize ndo uzipige kwenye mix? Si usumbufu huu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…