Youtubers tukutane hapa

Youtubers tukutane hapa

JMipicha

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2020
Posts
704
Reaction score
1,096
Habari wana tech?

Mimi ni miongoni mwa youtuber chipukizi. Nilifungua account kwa ajili ya mipango yangu tu ya kufundishia watu mambo mbalimbali.Japo bado haijakidhi vigezo vya Youtube ili nilipwe ila napambana.

Nilikuwa nataka fans ambao ni youtuber ili tupeane uzoefu kwenyee hili pia tu inspire vijana wengine kujiunga kwa mafanikio yao ya baadae

Comment madini sasa.
 
Back
Top Bottom