Youtube kumechafuka: Nay wa mitego, Maua sama na LavaLava

WENYELE

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
1,415
1,379
Siku ya leo umekua ya burudani tosha kwangu,kuna mapini yameshushwa leo kule Youtube.Video kali na burudani imeenda kwa Lavalava,wimbo bora kwa Nay wa mitego na burudani imeenda kwa Maua sama.
Hongereni nime-like video zenu zote
 
[Q

UOTE="WENYELE, post: 28668844, member: 76969"]Siku ya leo umekua ya burudani tosha kwangu,kuna mapini yameshushwa leo kule Youtube.Video kali na burudani imeenda kwa Lavalava,wimbo bora kwa Nay wa mitego na burudani imeenda kwa Maua sama.
Hongereni nime-like video zenu zote[/QUOTE]
Nyimbo ya ney jina gani?
 
IOKOTE audio nzuri ila video wamechemka,yaani yale mavazi aliyovaa maua plus na make up ameonekana kama chizi hata location zake hazivutii na yule jamaa aliyeshirikishwa kapooza.
Hapana iokote ipo vzuri shda tu ww ulitaraji vingne na imekuja kivingne kabsaa ..
Lavalava katisha mzee
 
IOKOTE audio nzuri ila video wamechemka,yaani yale mavazi aliyovaa maua plus na make up ameonekana kama chizi hata location zake hazivutii na yule jamaa aliyeshirikishwa kapooza.
Yan hamna kitu...maua si lazima awe anaonekana kwenye video!!
Tatizo wabongo wamekariri wanataka lazima msanii atokee kwenye video..
 
Ndg hujui usanii maana yake mtu kapga pesa hapo ...
Ndivyo inavyopaswa asee au ulitaka kuona pale anabanwa na haja?
Mbona una hasira,sasa hizo haja zinaingiaje hapo ,ili uweze kupiga pesa Youtube basi Video yako lazima iwe nzuri,sababu quality na uzuri wa Video ndio inaipa thamani kubwa nyimbo yako Youtube hata watu wanaitazama mara kwa mara na views wanakuwa wengi.Hivi hujui baadhi ya nyimbo watu wamezipenda sababu ya video au umesahau Nyimbo ya CAPO SNOOP -PRAKATATUMBA audio ya kawaida ila video ndio imeikuza nyimbo na kuwa kubwa.Mimi mtizamo wangu audio nzuri,ila video mbovu.
 
Back
Top Bottom