Mkuu, kwanza watu wana msemo humu ukiitwa kwenye fursa jua wewe ndio fursa. Una ukweli kwa 80% na hivyo kutokana na hilo ndio maana kuna watu wengi wanafahamu mambo ila wanakaa kimya wasije itwa matapeli.Nafaka inaonyesha una upeo mpana kuhusu kazi za kimtandao...hongera!
Ili kuwasaidia vijana wenzio hebu fungua darasa fupi ili wapate mwanga( basic) jinsi kufanya na taratibu zake.
Mf. ukusanyaji wa hizo data za lugha na utaratibu wake.
Ukifanya hivyo utakuwa umetoa mchango mkubwa sana kwa hiki kizazi na kuliweka jina lako kwenye kumbukumbu ya wengi.
Hivi facebook si inalipa watengeneza contents siku hiziYes, asikwambie mtu.
Blogging na YouTube siyo kazi rahisi hata kidogo.
Labda uwe mtu maarufu, uwe unwaelekeza waasi wako ulionao kwenye social media kwenda kwenye channel yako.
Vinginevyo, uwe na content unique sana ili channel iweze ku-blow up haraka
Mkuu unaelewa maana ya 400hrs?Acha kuwakatisha watu tamaa
Hakuna mtandao Kama YouTube katika malipo
Ukiwa na 400hrs
Na subscribe 1k unaanza kuchukua $200 at the first time
YouTube wanalipa vizuri Sana Tena sana
๐คฃ๐คฃKama utapendezwa na elimu zaidi, hapo ndo mtego ulipo [emoji3][emoji3]
Hizo ndo kauli za waganga njaa online, kuweni makini...watu kazi zikiwashinda wanaona bora kuanza kuibia watu.
Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
Huko majuu nadhani, kibongobongo sina hakika.Hivi facebook si inalipa watengeneza contents siku hizi
Maaana nakutana content nyingi za wahindi na wathai zina views za kutoshaHuko majuu nadhani, kibongobongo sina hakika.
Huko majuu mpaka Instagram reels wanalipa.
Wahindi wanazurula sana online.Maaana nakutana content nyingi za wahindi na wathai zina views za kutosha
Nahitaji kumiliki You Tube channelWakuu mambo vipi?
Ni muda mwingine tumekutana tukiwa salama kabisa, ila poleni sana kwa wale mnaopitia changamoto kinamna yoyote ile na ninawaombea muweze kurudi katika utimamu.
Wakuu, uzi huu leo naupitisha katika sindano ya YouTube.
Mimi nimekuwa YouTube Creator it's about 10yrs now, and I know YouTube as well. Nimeshachukua pesa za Youtube mara nyingi sana, that time nilikuwa nachukua pesa kupitia 'Western Union' kabla YouTube hawajaitoa na kubakisha 'Wire transfer'.
Siku hizi vijana wengi wameajiriwa na YouTube. You make money depends on what you're doing.
Kwa hapa Bongo neno linaloshika sana na linalomshawishi mtu naye aweze kuwa YouTube Creator, ni "Youtube inalipa".
Binafsi mimi huwa sipendi kulitumia neno hili kwa sababu najua challenges zilizo kwenye YouTube.
Kibongo bongo hapa ukisikia mtu anakuambia anapiga hela YouTube hapo usikubali moja kwa moja.
Kuna watu wanaficha aibu. Unakuta miezi 6 ndio anapata $100, halafu anasema eti anapiga hela. Seriously, hii haisound poa.
Kiukweli, ili upige hela za YouTube lazima utengeneze unique contents halafu ziwe kwenye moja ya lugha zilizotajwa kwenye Adsense na sio kiswahili. Kingine ukitaka YouTube chaneli yako iwe na matangazo yenye CPC (Cost per click) kubwa, lazima contents zako ziwe zinazungumzia mambo ya pesa.
Mfano: Buy, Sell, Credit, Money, nakadhalika. Hizi zinakuwa na CPC kubwa kuanzia $10 kuendelea. Hapo utakuta unapiga $20 kwa siku. Lakini kama contents zako ni za kiswahili, sahau hilo, kwa sababu 'Kiswahili' ni miongoni mwa lugha ambazo hazijatajwa kutumika kwenye Adsense.
Mara nyingi kwa wastani chaneli yenye contents za kiswahili 'cpc' yake huchezea kwenye $0.01 au $0. Ikipanda sana ni $0.03 inategemea upepo wa contents za siku hiyo.
Mfano, una video moja kwenye chaneli yako imepata Views 30,000 watu 100 wakabonyeza matangazo, hapo utakuwa umeingiza $1 au $1.5.
Youtube hawalipi kwa views, wanalipa kwa watu waliobonyeza matangazo na sio kila video inaweza kuwekewa matangazo. Unaweza ukaona video ya mtu ina Views Milioni 3 lakini asiwe amefaidika chochote.
Lakini tukihamia upande wa pili wa lugha na aina ya contents kama nilivowaeleza hapo juu, hapa unaweza piga pesa ndefu kwa sababu cpc kwa wastani inachezea kwenye $2 per click.
Mfano una video ina views 30,000 na watu waliobonyeza matangazo ni 100, chukua hiyo $2 zidisha kwa hao watu 100, ambapo ni sawa na $200. Hii ni pesa ndefu! Kama ukiwa na unique contents za kutosha kwenye chaneli yako, hapo maisha ni mtelezo tu.
Narudia teena 'Youtube inalipa hila sio hapa Bongo'. Na ukikuta mtu anakuambia anapiga hela Youtube na yupo hapa bongo na contents zake ni za kiswahili tena ni za kusimulia, mwambie akuoneshe Adsense ama YouTube Dashboard asikudanganye kirahisi. Bora hata za muziki zinalipa kidogo.
Na hii ni kwa hata wale ambao Tovuti au Blog zao ziko monetized na Adsense. Wembe ni ule ule! Tena kule kwenye site, ukiwa unapost kwa kiswahili, unaondolewa kabisa matangazo.
Ahsanteni wakuu; Kama utapendezwa na elimu zaidi, napatikana kupitia deoperacc kwenye mitandao ya kijamii. Huwa si mpenzi wa kupost sana kule ila unaweza uka -DM tu.
Wahindi ukifanya nao kazi mtandaoni wanabana sana aisee wale halafu wezi wanawaibia hadi wahindi wenzao wanawafanyisha kazi halafu hawawalipiWahindi wanazurula sana online.
Pia India, GB Moja, ni kama Tsh 200/- kwahiyo wako sana online.
Vile vile, India population yao ni kubwa sana.
Yes, Wahindi ni janja janja sana.Wahindi ukifanya nao kazi mtandaoni wanabana sana aisee wale halafu wezi wanawaibia hadi wahindi wenzao wanawafanyisha kazi halafu hawawalipi
Pia waspain, ukifanya kazi na waspain wanaondoka na 24% ya mapato yako maana ndivyo sheria ya nchi yao inasema unless nchi yako iwe na makubaliano maalum ya kod na nchi yaoYes, Wahindi ni janja janja sana.
Voice over unatumia sauti yako au una-outsource?Mimi ni YouTuber pia...lakin natumia kingereza tu.
Uliyosema ni kweli...
Unahitaji elimu ya kutosha kuhusu Youtube kabla ya kuanzisha channel ya youtube...
All in all Kupata views nyingi ni kitu cha muhumu sana kabla ya yote
Kabisaa!Mimi ni YouTuber pia...lakin natumia kingereza tu.
Uliyosema ni kweli...
Unahitaji elimu ya kutosha kuhusu Youtube kabla ya kuanzisha channel ya youtube...
All in all Kupata views nyingi ni kitu cha muhumu sana kabla ya yote
Hiyo ilikuwa ni kuilipia directly kwa online transaction.
Yeah jamaa anajikutaga yeye ndiye owner wa mziki kisa kamtoa dayamond tuHiyo ilikuwa ni kuilipia directly kwa online transaction.
Sema huyo Sallam anajionaga anajua sana pesa, wakati ni dalali tu.