Mimi siyo YouTuber ila ninachojua, kinachoweza kukulipa zaidi YouTube ni mchanganyiko wa vitu vitatu vikubwa:Jana nilikuwa napita pita huko mtandaoni. Nikashangaa kusoma kuwa shakira, anachukua kama dola milionin4 YouTube kila mwezi. Na kwa ngoma yake hii kiasi hicho kitaongezeka kwa muda fulani. Nikasema hiii
Yah views ni changamoto ndio maana wanamuziki wenye majina wanapata. Waliobaki wanabaki tengeneza title za ajabu na kuwahoji wasichana wanaojidhalilisha ili nao wapate views.Mimi siyo YouTuber ila ninachojua, kinachoweza kukulipa zaidi YouTube ni mchanganyiko wa vitu vitatu vikubwa:
- Audience yako ( Watazamaji wako wengi wanatokea nchi gani?
Nchi za Ulaya na US hata ukipata views chache utapata PESA kubwa.
Kibongobongo ili pesa iwe angalau lazima uwe na views za kutosha, kiti ambacho ni ngumu.
- Maudhui ya video zako. Hii inatokana na matangazo yatakayokuwa yanapita kwenye video zako, maana lazima Ads ziendane na Maudhui ya video. Kwa kawaida makampuni ya Finance, bima, crypto, travel huwa yanalipa pesa kubwa.
- Wingi wa views.
Binafsi, changamoto ninayoiona ni kupata views.
Kwa hapa Tanzania hata mabando ya simu ni ghali mno. Mpaka mtu afungue video ya YouTube basi lazima iwe ni content anayoipendaYah views ni changamoto ndio maana wanamuziki wenye majina wanapata. Waliobaki wanabaki tengeneza title za ajabu na kuwahoji wasichana wanaojidhalilisha ili nao wapate views.
Sema hata blogging kuna inaowalipa kiasi sema kwa content za kiujanja ujanja. Mmojawapo ni yule jamaa anayesema alianza sijui blogging na shilingi ngapi. Yule kweli hizo $400 anapata ila kwa content za kiujanja ujanja zile za form 4 results unaenda hakuna matokeo hajatoka.
Asante sana kwa elimu mkuu.Wakuu mambo vipi?
Ni muda mwingine tumekutana tukiwa salama kabisa, ila poleni sana kwa wale mnaopitia changamoto kinamna yoyote ile na ninawaombea muweze kurudi katika utimamu.
Wakuu, uzi huu leo naupitisha katika sindano ya YouTube.
Mimi nimekuwa YouTube Creator it's about 10yrs now, and I know YouTube as well. Nimeshachukua pesa za Youtube mara nyingi sana, that time nilikuwa nachukua pesa kupitia 'Western Union' kabla YouTube hawajaitoa na kubakisha 'Wire transfer'.
Siku hizi vijana wengi wameajiriwa na YouTube. You make money depends on what you're doing.
Kwa hapa Bongo neno linaloshika sana na linalomshawishi mtu naye aweze kuwa YouTube Creator, ni "Youtube inalipa".
Binafsi mimi huwa sipendi kulitumia neno hili kwa sababu najua challenges zilizo kwenye YouTube.
Kibongo bongo hapa ukisikia mtu anakuambia anapiga hela YouTube hapo usikubali moja kwa moja.
Kuna watu wanaficha aibu. Unakuta miezi 6 ndio anapata $100, halafu anasema eti anapiga hela. Seriously, hii haisound poa.
Kiukweli, ili upige hela za YouTube lazima utengeneze unique contents halafu ziwe kwenye moja ya lugha zilizotajwa kwenye Adsense na sio kiswahili. Kingine ukitaka YouTube chaneli yako iwe na matangazo yenye CPC (Cost per click) kubwa, lazima contents zako ziwe zinazungumzia mambo ya pesa.
Mfano: Buy, Sell, Credit, Money, nakadhalika. Hizi zinakuwa na CPC kubwa kuanzia $10 kuendelea. Hapo utakuta unapiga $20 kwa siku. Lakini kama contents zako ni za kiswahili, sahau hilo, kwa sababu 'Kiswahili' ni miongoni mwa lugha ambazo hazijatajwa kutumika kwenye Adsense.
Mara nyingi kwa wastani chaneli yenye contents za kiswahili 'cpc' yake huchezea kwenye $0.01 au $0. Ikipanda sana ni $0.03 inategemea upepo wa contents za siku hiyo.
Mfano, una video moja kwenye chaneli yako imepata Views 30,000 watu 100 wakabonyeza matangazo, hapo utakuwa umeingiza $1 au $1.5.
Youtube hawalipi kwa views, wanalipa kwa watu waliobonyeza matangazo na sio kila video inaweza kuwekewa matangazo. Unaweza ukaona video ya mtu ina Views Milioni 3 lakini asiwe amefaidika chochote.
Lakini tukihamia upande wa pili wa lugha na aina ya contents kama nilivowaeleza hapo juu, hapa unaweza piga pesa ndefu kwa sababu cpc kwa wastani inachezea kwenye $2 per click.
Mfano una video ina views 30,000 na watu waliobonyeza matangazo ni 100, chukua hiyo $2 zidisha kwa hao watu 100, ambapo ni sawa na $200. Hii ni pesa ndefu! Kama ukiwa na unique contents za kutosha kwenye chaneli yako, hapo maisha ni mtelezo tu.
Narudia teena 'Youtube inalipa hila sio hapa Bongo'. Na ukikuta mtu anakuambia anapiga hela Youtube na yupo hapa bongo na contents zake ni za kiswahili tena ni za kusimulia, mwambie akuoneshe Adsense ama YouTube Dashboard asikudanganye kirahisi. Bora hata za muziki zinalipa kidogo.
Na hii ni kwa hata wale ambao Tovuti au Blog zao ziko monetized na Adsense. Wembe ni ule ule! Tena kule kwenye site, ukiwa unapost kwa kiswahili, unaondolewa kabisa matangazo.
Ahsanteni wakuu; Kama utapendezwa na elimu zaidi, napatikana kupitia deoperacc kwenye mitandao ya kijamii. Huwa si mpenzi wa kupost sana kule ila unaweza uka -DM tu.
Kuna la kujifunza hapa[emoji1755]Wakuu mambo vipi?

Kaka, kuna njia nyingi za kupiga pesa kwenye YouTube, ila tu kinachotakiwa kwanza ujibrand watu wakufahamu wewe ni nani hata kwa asilimia 40.Wanamziki wanapataje pesa kupitia YouTube, nijuze tafadhali
Ya kwa kiasi kikubwa gharama za mabundle zimepanda. Lakini unaweza tengeneza engaging content kwa mfumo tu wa video yenye sauti maana hizo hazina mb nyingiKwa hapa Tanzania hata mabando ya simu ni ghali mno. Mpaka mtu afungue video ya YouTube basi lazima iwe ni content anayoipenda
Nipe jina la akaunti yako nikacheki videosWatz , wanaamini katika kubaniana fursa Mimi nachofahamu hii Kazi ya YouTube inalipa Sana na nimepata pesa nzuri so waacheni vijana wajiajiri
Kaka, hii mbona rahisi!? Inapatikana wapi kaka? ๐Acha kuwakatisha watu tamaa
Hakuna mtandao Kama YouTube katika malipo
Ukiwa na 400hrs
Na subscribe 1k unaanza kuchukua $200 at the first time
YouTube wanalipa vizuri Sana Tena sana
Nafaka inaonyesha una upeo mpana kuhusu kazi za kimtandao...hongera!Hapa kati kuna ukusanyaji data za languages mbalimbali dunia nzima ikiwemo hizo local
Mimi Nina blogs 2 mpaka Sasa ila nataabika sana.Yah views ni changamoto ndio maana wanamuziki wenye majina wanapata. Waliobaki wanabaki tengeneza title za ajabu na kuwahoji wasichana wanaojidhalilisha ili nao wapate views.
Sema hata blogging kuna inaowalipa kiasi sema kwa content za kiujanja ujanja. Mmojawapo ni yule jamaa anayesema alianza sijui blogging na shilingi ngapi. Yule kweli hizo $400 anapata ila kwa content za kiujanja ujanja zile za form 4 results unaenda hakuna matokeo hajatoka.
Yohana AntonyNipe jina la akaunti yako nikacheki videos
Kwenye muziki nasikiaga wanalipwa dola 3 kwa views 1000Na mimi nimepatamani hapa
Kwa kila viewer au kwa jumla ya hao viewers?Kwenye muziki nasikiaga wanalipwa dola 3 kwa views 1000
Muziki, sababu kubwa ni umaarufu wao kuwa mkubwa na hivyo kupata views nyingi.Unaweza jazia malezo kidogo hapa.
-
Mkuu, hebu weka channel yako tuone.Acha kuwakatisha watu tamaa
Hakuna mtandao Kama YouTube katika malipo
Ukiwa na 400hrs
Na subscribe 1k unaanza kuchukua $200 at the first time
YouTube wanalipa vizuri Sana Tena sana
Yani kama msanii akifikisha views 1000 basi anaingiza $3 ..sasa apo piga hesabu mufano wamefika viewers Million 1,2,3,10,50,100 viewers billion 1,2,3 ...Kwa kila viewer au kwa jumla ya hao viewers?
Naona facebook siku hizi wanablock sanaMimi Nina blogs 2 mpaka Sasa ila nataabika sana.
Kuna wakati nilikuwa natumia "click baiting techniques"
Natengeneza picha ya ngono halafu naweka "play button" katikati, mtu akibofya tu anaingia kwenye blog. Na nilikuwa natarget watu wa nje.
Ndio nikapata Kama Laki 8 kwa miezi 3. Ila baadaye Facebook ikaanza kuwa very aggressive ukishare picha Kama hizo, unakula block na spamming warning. Ikashindikana.
Yes, asikwambie mtu.Naona facebook siku hizi wanablock sana