Youtube Account maelekezo

Youtube Account maelekezo

brocode

Member
Joined
Jul 3, 2019
Posts
48
Reaction score
30
Tukutane hapa wanazengo tunaotumia YouTube kujiingizia kipato na ww unaependa uweze jifunza kwa namna moja ukiwa interest unaweza Fanya na wewe!

Me nimeangalia jamii sjaona group kama hili nikaona nianzishe naweza pata wemzangu na mm wanaotaka kuja na kujifunza zaidi kuhusu YOUTUBE ACCOUNT

so karibun tusaidiane tuonee tunakulaje ile hela ya YouTube.




Karibu. Kumbuka huku link azitakiwi kama.hizi[emoji23]
 
Back
Top Bottom