Monday..nazimua kutoa Hang Over
Tuesday..Maji kwa wingi na misosi ya kutosha( Makange au kitimoto
Wednesday..week end inaanza
Thursday ...Mitungi kitu cha Jack daniel
Friday..mitungi...na kuruka debe
Saturday..ratiba inaendela..
sunday...asubuhi church..jioni BATA tena..
*Muda wa kulala unategema na Aina ya BATA..