Mtukutu Mkuu
JF-Expert Member
- Jul 10, 2022
- 1,149
- 1,450
Kweli KabisaHiyo blue screen of death imenifanya niitupe Lenovo yangu.
Ila nilichokibaini hili tatizo huwenda likahusiana na maswala ya hardware.
Update hiyo windows ila likiendelea inabidi utafute mashine mpya kwa sababu huenda itakuwa imezidiwa
unatumia windows 11Daah, samahani mleta mada kwa kukuingilia kwenye uzi wako.
Msaada jamani na mimi PC yangu kuna time nikiiwasha inazimazima screen kama inachezacheza hivi(inazima na kuwaka kwa speed). Nikiipumzisha kama siku mbili au tatu inaendelea poa tu.
fungua ndani kuna ki betrii utakikuta kibadilishe...toa hicho kibetrii weka kipyaDaah, samahani mleta mada kwa kukuingilia kwenye uzi wako.
Msaada jamani na mimi PC yangu kuna time nikiiwasha inazimazima screen kama inachezacheza hivi(inazima na kuwaka kwa speed). Nikiipumzisha kama siku mbili au tatu inaendelea poa tu.
Shukrani sana bossfungua ndani kuna ki betrii utakikuta kibadilishe...toa hicho kibetrii weka kipya
Ila kwa upande wa charge inakaa masaa manne mpaka matano ikijaa.fungua ndani kuna ki betrii utakikuta kibadilishe...toa hicho kibetrii weka kipya
Asee ila mwanzo haikuwa na hii shidaawezi kuupdate ikapona unless otherwise awe hiyo windows ameinunua... update ni kwaajili ya windows genuines tu. pirate msisubutu ku update.
watu awawezi kuwekeza kwenye project zao harafu tudawnload windows za bure kisha ukimbilie kuchukua update zao ambazo wanaziweka kwaajili ya walio nunua program.
Shukranawezi kuupdate ikapona unless otherwise awe hiyo windows ameinunua... update ni kwaajili ya windows genuines tu. pirate msisubutu ku update.
watu awawezi kuwekeza kwenye project zao harafu tudawnload windows za bure kisha ukimbilie kuchukua update zao ambazo wanaziweka kwaajili ya walio nunua program.
sio betri hii... kibetrii kama cha saa kipo ndani kabisa...ukifungua mother bordIla kwa upande wa charge inakaa masaa manne mpaka matano ikijaa.
Shukrani sanasio betri hii... kibetrii kama cha saa kipo ndani kabisa...ukifungua mother bord