huwezi kumtongoza mwanamke yeyote mwenye akili kwa pesa, just show her she z so unique and you love her so much...kama ni type yake then atakukubali! Na pesa unayoongelea siyo 20,000/= au 50,000/= fanya kitu kinachogusa hisia zake moja kwa moja!wakuu ktk maisha yangu mimi kama dume sijawai kuamini kwamba kuna wanawake hawapendi mapenzi ya pesa, kuna dada mmoja hv nilimvuta kwa pesa nikawa namnunulia vitu vingi ananiomba msaada nampa na tukawa tumezoeana sana sasa leo nikaamua nimtolee uvivu kuhusu hisia zangu kwake lakini jibu nililoambulia ndo hilo pesa yangu haiwezi nunua penzi lake ktk maisha yangu yote yakuvutia wasichana kwa pesa lakini leo nimeamini pesa haiwezi nunua penzi loh
huwezi kumtongoza mwanamke yeyote mwenye akili kwa pesa, just show her she z so unique and you love her so much...kama ni type yake then atakukubali! Na pesa unayoongelea siyo 20,000/= au 50,000/= fanya kitu kinachogusa hisia zake moja kwa moja!
huwezi kumtongoza mwanamke yeyote mwenye akili kwa pesa, just show her she z so unique and you love her so much...kama ni type yake then atakukubali! Na pesa unayoongelea siyo 20,000/= au 50,000/= fanya kitu kinachogusa hisia zake moja kwa moja!
wakuu ktk maisha yangu mimi kama dume sijawai kuamini kwamba kuna wanawake hawapendi mapenzi ya pesa,
kuna dada mmoja hv nilimvuta kwa pesa nikawa namnunulia vitu vingi ananiomba msaada nampa na tukawa tumezoeana sana sasa leo nikaamua nimtolee uvivu kuhusu hisia zangu kwake lakini jibu nililoambulia ndo hilo pesa yangu haiwezi nunua penzi lake ktk maisha yangu yote yakuvutia wasichana kwa pesa lakini leo nimeamini pesa haiwezi nunua penzi loh
sijawahi sikia mtu anapenda sababu ya pesa....Wapo but very few!!Wote wanaume kwa wanawake tunapenda pesa .chezea pesa wewe!!!
Umeandika nn hiki,au nazeeka vby...huyo kasema tu.... maana anakuonea aibu maana kala hela yako sana na ww umemla maku yake sana tu.... so asikutishe kitu.... huyo ni muuzaji tu.... pesa = mapenzi provided unasimisha regardless of man*s age.....
.....M♥P€ NZI == P€$♥... derived formula...period...!!