"your money won't buy my love" sikuamini

mtz one

JF-Expert Member
Dec 25, 2012
4,272
1,210
wakuu ktk maisha yangu mimi kama dume sijawai kuamini kwamba kuna wanawake hawapendi mapenzi ya pesa,
kuna dada mmoja hv nilimvuta kwa pesa nikawa namnunulia vitu vingi ananiomba msaada nampa na tukawa tumezoeana sana sasa leo nikaamua nimtolee uvivu kuhusu hisia zangu kwake lakini jibu nililoambulia ndo hilo pesa yangu haiwezi nunua penzi lake ktk maisha yangu yote yakuvutia wasichana kwa pesa lakini leo nimeamini pesa haiwezi nunua penzi loh
 
Tupo wengi wa hivyo,mi mwenyewe ningekujibu hivyohvyo baada ya kuzichop lkn
 
ha ha ha pole sana weee.
Mapenzi yana raha yake ujue pia mwanaume kapuku akijikuna anatoka vumbi ana karaha yake vile vile.
 
ha ha ha pole sana weee.
Mapenzi yana raha yake ujue pia mwanaume kapuku akijikuna anatoka vumbi ana karaha yake vile vile.
teh teh teh kweli pesa ina mchango mkubwa sana kwenye mapenzi
 
...huyo kasema tu.... maana anakuonea aibu maana kala hela yako sana na ww umemla maku yake sana tu.... so asikutishe kitu.... huyo ni muuzaji tu.... pesa = mapenzi provided unasimisha regardless of man*s age.....

.....M♥P€ NZI == P€$♥... derived formula...period...!!
 
wakuu ktk maisha yangu mimi kama dume sijawai kuamini kwamba kuna wanawake hawapendi mapenzi ya pesa, kuna dada mmoja hv nilimvuta kwa pesa nikawa namnunulia vitu vingi ananiomba msaada nampa na tukawa tumezoeana sana sasa leo nikaamua nimtolee uvivu kuhusu hisia zangu kwake lakini jibu nililoambulia ndo hilo pesa yangu haiwezi nunua penzi lake ktk maisha yangu yote yakuvutia wasichana kwa pesa lakini leo nimeamini pesa haiwezi nunua penzi loh
huwezi kumtongoza mwanamke yeyote mwenye akili kwa pesa, just show her she z so unique and you love her so much...kama ni type yake then atakukubali! Na pesa unayoongelea siyo 20,000/= au 50,000/= fanya kitu kinachogusa hisia zake moja kwa moja!
 
money sometimes do matter.....
it cant buy love but it can make some1 think twice
about ur proposal!!!!!!
 
mtz one kwa mtazamo wangu, huwa naona mapenzi ya pesa hayana maisha marefu na mara nyingi hukatika pale pesa inapokwisha na pengine hata kuvuruga pale ambapo aliyevutiwa na pesa, kampata mtu anayempenda kwa pendo la kweli. Ni vyema pesa ije kutia chachu pale tu panapokuwapo na penzi la kweli na si kutanguliza pesa kwanza ...
Huu ni mtazamo wangu tu ....
 
huwezi kumtongoza mwanamke yeyote mwenye akili kwa pesa, just show her she z so unique and you love her so much...kama ni type yake then atakukubali! Na pesa unayoongelea siyo 20,000/= au 50,000/= fanya kitu kinachogusa hisia zake moja kwa moja!

i like this comment a lot
 
Umekosea formula ungeanza na papuchi then unahudumia usingekuja humu na hayo maneno ila ungekuja na stori nyinginee
 
true that
huwezi kumtongoza mwanamke yeyote mwenye akili kwa pesa, just show her she z so unique and you love her so much...kama ni type yake then atakukubali! Na pesa unayoongelea siyo 20,000/= au 50,000/= fanya kitu kinachogusa hisia zake moja kwa moja!
 
wakuu ktk maisha yangu mimi kama dume sijawai kuamini kwamba kuna wanawake hawapendi mapenzi ya pesa,
kuna dada mmoja hv nilimvuta kwa pesa nikawa namnunulia vitu vingi ananiomba msaada nampa na tukawa tumezoeana sana sasa leo nikaamua nimtolee uvivu kuhusu hisia zangu kwake lakini jibu nililoambulia ndo hilo pesa yangu haiwezi nunua penzi lake ktk maisha yangu yote yakuvutia wasichana kwa pesa lakini leo nimeamini pesa haiwezi nunua penzi loh

Watoto wa mjini wengi wanajiuza, pesa wameweka mbele mauti nyuma, so kuwa makini.
Ukiona mwanamke kathamini pesa sana, siku hauna pesa anaenda kwa mwenye pesa na kukuacha wewe.
Yupo na wewe kwa ajiri ya pesa tu basi, hivo ukiwa hauna nae anaenda zake na kukuacha.

Mwanamke mwenye busara na kujua maisha, hutu wa mwanamme ndio anathamini sio pesa.
 
Wapo but very few!!Wote wanaume kwa wanawake tunapenda pesa .chezea pesa wewe!!!
sijawahi sikia mtu anapenda sababu ya pesa....
wale wanaofwata pesa kwa mtu siyo kuwa wanakuwa na mapenzi nao, wanaishi nao tu sababu ya pesa zao lakini hawana mapenzi.
huwezi penda mtu kwa sababu ya material things, hata siku moja. kama humpendi mtu humpendi tu, hata awe na nini.
Ujasiri wa kukataa hata kuwa na huyo mtu sababu ya pesa zake ndo kweli tunao wachache sana.
 
...huyo kasema tu.... maana anakuonea aibu maana kala hela yako sana na ww umemla maku yake sana tu.... so asikutishe kitu.... huyo ni muuzaji tu.... pesa = mapenzi provided unasimisha regardless of man*s age.....

.....M♥P€ NZI == P€$♥... derived formula...period...!!
Umeandika nn hiki,au nazeeka vby
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom