The Knowledge Seeker
JF-Expert Member
- Apr 13, 2019
- 4,397
- 6,673
Wanaotumia iyoo app ya your freedom now bado inaendelea kufanya kaz maana naona kama miez 2 iliyopita ilikuwa inazingua
Speed ya internet Ikoje mkuu? au ni kobeHamna kitu hapo mkomboz wetu now ni kifurushi cha royal cha halotel unapata dakk 120 mitandao yote, na, za halotel 300 na sms 500 na internet bila kipimo kwa mwezi mzima hata ushinde youtube kila siku ni ww na matumizi yako burudan zote hizo ni kwa sh elf 10 tu ambapo ukipiga hesabu kila. Siku unakuwa umetumia 300 tu.
Unajiungaje hiiHamna kitu hapo mkomboz wetu now ni kifurushi cha royal cha halotel unapata dakk 120 mitandao yote, na, za halotel 300 na sms 500 na internet bila kipimo kwa mwezi mzima hata ushinde youtube kila siku ni ww na matumizi yako burudan zote hizo ni kwa sh elf 10 tu ambapo ukipiga hesabu kila. Siku unakuwa umetumia 300 tu.
Lakin inakua imebak mda kama siku 4 ivi mwez utimieSpeed ya internet Ikoje mkuu? au ni kobe
Spidi inapungua baada ya kutumia gb 3.5, kama ww ni heavy downloader hiki kifurushi hakifai.Speed ya internet Ikoje mkuu? au ni kobe
Mmmhh sasa kama ni hivo si siku ya kwanza tuu kushnei[emoji44]Spidi inapungua baada ya kutumia gb 3.5, kama ww ni heavy downloader hiki kifurushi hakifai.
Kwani gb 1 inachukua zaidi ya masaa 4 na speed inarange 65KB/s
Kizuri hiki kwa peruzi mitandaoni maana hata youtube baada ya hizo gb 3 haistream video za 720p,Mmmhh sasa kama ni hivo si siku ya kwanza tuu kushnei[emoji44]
Bado inafanya kazi, sema kupata settings zake ndio kisanga
SHIDA NI KWAMBA YOUR FREEDOM,iodine etc ZIPO SLOW HUWEZ DOWNLOAD FILES KUBWA
SASA KUNA PACKAGE SPECIAL KWA AJILI YA TRUSTED PEOPLE ONLY
UNLIMITED INTERNET
UPTO 10Mbsp
PRICE 20000/=
KARIB INBOX
TELEGRAM: sud0w1zard
SHIDA NI KWAMBA YOUR FREEDOM,iodine etc ZIPO SLOW HUWEZ DOWNLOAD FILES KUBWA
SASA KUNA PACKAGE SPECIAL KWA AJILI YA TRUSTED PEOPLE ONLY
UNLIMITED INTERNET
UPTO 10Mbsp
PRICE 20000/=
KARIB INBOX
TELEGRAM: sud0w1zard
1month Of unlimited and Fast Internet kama unataka proof njoo Telegram sud0w1zard20 subscription yake ni kwamuda gani
absoulutely, so nimeleta hii ngingine 10GB ni kitu simple😀😀Nikweli hii yf n for browsing tu ila big files uwongo
Kivipi labda b4 ya yote nitest mitambo kwanza then tuje kwenye malipo kuliko maneno tu.absoulutely, so nimeleta hii ngingine 10GB ni kitu simple😀😀
Hakika mpwa kheri ununue kabando kakoNiliachaga kutumia hii app, Inanyinya betri mno mno mno,
nina uhakika na ninachosema yani ni uhakika 100%Kivipi labda b4 ya yote nitest mitambo kwanza then tuje kwenye malipo kuliko maneno tu.