Your alltime favourite ALI KIBA song?

Your alltime favourite ALI KIBA song?

Royal Warrior

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2015
Posts
1,166
Reaction score
2,144
Wale washabiki na wadau wa mziki wa bongi fleva. Hivi song gani la king kiba unalikubali sana.

Mie binafsi ni hii hapa

"Mara ya mwisho mi nawe, kuonana kipindi kile twasoma..
Shule ya msingi kigoma...
 
1. Cinderella
2. Nalia
3. Hadithi
4. Mapenzi yanarun Dunia
5. Mwana
 
Kufosi mapenzi...

Dah hii nyimbo inanikumbusha nipo ghetto pande za mkoa flani back in 2007
 
Dushelele
Mali yangu
Nichumu
Single boy
Njiwa
Mapnz yana run dunia
Far away
Usiwatese yatima
 
Si mzima were
Shababi
My everything
Unconditionally bae
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom