Young Killer Vs Young D nani mkali ?

Young Killer Vs Young D nani mkali ?

Young killer mwanza mwanza

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
young d ndo mkali maana style zake ni za kimataifa mkuu tofauti na msodoki maana analenga soko la ndani tu eg DEAR GAMBE,etc
sikiliza rock star ya young d ndo utaamin dogo yupo international.

ni hayo tu mkuu
 
Young d is another level, anaweza switch to different styles alafu pia yupo kwenye game kitambo compared to young killer, also staili yake kama ya kipekee hiv, where by young killer is just like stamina, au wasanii wa tamaduni music coz all are sailling on the same boat kiuandishi wa mistari
 
tunaoujua muziki ,tumekuelewa
mtoa Mada Hajampa Hadhi anayostahiri Young D
 
Kwa kweli mleta mada umemdhalilisha kwa kiasi kikubwa kumweka Young dee apambane na huyo killer sijui!
 
young d hamna kitu pale kwanza kipaji hana anafosi game kazi kurembua macho tu!
 
Young killer ni fundi,sikiliza single alomshirikisha Banana-umebadilika
 
kati ya hawa madogo wawili young d na young killa nani kati yao unaona ni fundi?

YOUNG KILLER- Ana Mashahiri mazuri kama EMINEM....YOUNG D ana Flow nzuri kama LIL WAYNE ss mwenyewe chagua nani mkali...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom