Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Hakuna anayefadhahika... Huyo Simba tunamchapa Taifa na wanatuogopa. Mimi nawaambia wamalize mzinguko wa kwanza then ndio waje tuongee
 
Yangaaaaaa.....
 
Hakika. Na huwa inanifurahisha vile namna tunajua kulitafuta goli yaani tulipambania mpaka tukakomboa wakati wangekuwa wao ndo ingeshatoka pale.

"DaimaMbeleNyumaMwiko"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…