Nakusalimia ki Makambo Sango yanini mulamu hii mutu Makambo intosha ile mbayaNdalaFC bhana! Kubahatisha Leo tu Washaanza Kujitangazia Ubingwa
Papaa NakambooooooMjue tu ubingwa ni safari ndefu
Mlibahatisha tu na mtibwa sasa msilewe sifa
E&K
Nakusalimia ki Makambo Sango yanini mulamu hii mutu Makambo intosha ile mbaya
Mbona povu kama hadija manara fasi ya nini bolingo motema mutu ya nguvu papaa makamboHii ndiyo #NdalaFC ilivyo!
√ Walimtegemea Msuva Kwa Ufungaji baadae Kaondoka.
√ Last Season walimtegemea Chirwa Kwa ufungaji baadae Kawaacha.
√ Na Msimu Wanamtegemea Makombo..
Sasa Kigenge Gani hichi Munachotegemea Mchezaji mmoja
Sisi Tunawafungaji Hatari Wa Kuaminika Kagere, Boko na Okwi.. Na Tuna Mafundi Wa Kuaminika Kina Kichuya, Chama, Dilunga na Mkude na tumetulia.
Sasa Subiri Tukutani na Nyinyi Halafu Huyo Makombo wenu Tumpe Mkude amueke Chini ya Ulinzi tuone Mutakavyoweweseka.
Mbona povu kama hadija manara fasi ya nini bolingo motema mutu ya nguvu papaa makambo
Hakika.
😂😂😂 duuhMbona povu kama hadija manara fasi ya nini bolingo motema mutu ya nguvu papaa makambo
Ahh Hadija weeBasi Nitatoa Povu Kama Kocha wenu Zuhura.