Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Aug 19, 2018
Dar es Salaam, Tanzania
Zeshchriss, MikumiYetu
Caf Confederation Cup 2018 match :
Results final score : Highlights video
Young Africans 2 : USMA Alger 1

Young Africans FC line up was :
  • 18 Benno Kokolanya
  • 2 Gadiel Kamagi
  • 3 Pius Buswita
  • 5 Kevin Yodani
  • 6 Abdallah Shaibu
  • 9 Heritier Makambo
  • 12 Juma Mnyamani
  • 24 Papy Tshishimbi
  • 27 Deus Kaseke
  • 28 Vicent Chikupe
  • 29 Raphael Loth
ملخص مباراة اتحاد العاصمة الجزائري و يونغ أفريكا 1-2-كأس الكونفيديرالية الافريقية!
 
Nakusalimia ki Makambo Sango yanini mulamu hii mutu Makambo intosha ile mbaya

Hii ndiyo #NdalaFC ilivyo!
√ Walimtegemea Msuva Kwa Ufungaji baadae Kaondoka.
√ Last Season walimtegemea Chirwa Kwa ufungaji baadae Kawaacha.
√ Na Msimu Wanamtegemea Makombo..

Sasa Kigenge Gani hichi Munachotegemea Mchezaji mmoja :D:D

Sisi Tunawafungaji Hatari Wa Kuaminika Kagere, Boko na Okwi.. Na Tuna Mafundi Wa Kuaminika Kina Kichuya, Chama, Dilunga na Mkude na tumetulia.

Sasa Subiri Tukutani na Nyinyi Halafu Huyo Makombo wenu Tumpe Mkude amueke Chini ya Ulinzi tuone Mutakavyoweweseka. :D:D:D
 
Mbona povu kama hadija manara fasi ya nini bolingo motema mutu ya nguvu papaa makambo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom