.......reasoning capacity yako ni ndogo....ktk jibu lake unaona kuna kipi cha ziada hadi uanze kujipendekeza kwa kuandika vitu visivyokuwa na muelekeo.
.......kufika dk. hizi mkiwa 0-0 naona mnapandwa na hasira, let me sign off: labda niwatakie usiku mwema.Kwani wewe umeuliza swali la maana hadi upewe jibu la maana?
.......kufika dk. hizi mkiwa 0-0 naona mnapandwa na hasira, let me sign off: labda niwatakie usiku mwema.
Dakika 85: Yanga 1-0 Shaba.
Siwaambii aliyefunga.
ha ha ha ha ha ha ha!!nimecheka kwa sauti ya juu...Dakika 85: Yanga 1-0 Shaba.
Siwaambii aliyefunga.
.......kufika dk. hizi mkiwa 0-0 naona mnapandwa na hasira, let me sign off: labda niwatakie usiku mwema.
ngoja na mimi siku niende huko uwanjani...naanzisha tu mada halafu siwapi update za uwanjani...Dakika 85: Yanga 1-0 Shaba.
Siwaambii aliyefunga.
.......kufika dk. hizi mkiwa 0-0 naona mnapandwa na hasira, let me sign off: labda niwatakie usiku mwema.
ha ha ha ha ha ha ha!!nimecheka kwa sauti ya juu...
pamoja mkuu...Nawazingua mikia.
Dakika 85: Yanga 1-0 Shaba.
Siwaambii aliyefunga.