adriz de mbusii
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 16,786
- 37,802
Kipande cha video assist a Sure boy kingewekwa kwenye Royal tour kingeongeza watalii wengi zaidi.
🙏🙏
Wametwetaaaaa Wapo Hoiiii Taaaaabaniii..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji120][emoji120]
Zamani mlikuwaga wepesi sana kuanzisha uzi mkijua Yanga mbofu sasa hivi jahazi limezama hata nguvu hamna. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahahaaa. Wasitwetwe waje washangilie hata lile kombe lao la robo. 😅Wametwetaaaaa Wapo Hoiiii Taaaaabaniii..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwanini tuwaanzishie uzi🙏🙏
Zamani mlikuwaga wepesi sana kuanzisha uzi mkijua Yanga mbofu sasa hivi jahazi limezama hata nguvu hamna. 🤣🤣🤣
😅😅😅Kwanini tuwaanzishie uzi
Kina Jose wenu wameenda wapi
Werrrrraaaaaahhhhhhh!!!!!![emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736]Ambundoooooo[emoji460][emoji460][emoji460][emoji460]