You waited: Travis Greene (my weekend gospel vibe)

You waited: Travis Greene (my weekend gospel vibe)

Nachotaka ni wewe tuuu

Haja ya moyo wangu ni Yesu tuuu 💖



Hakuna raha kubwa ktk hii dunia kama ukiwa na yesu ndani yako halafu

vi sh kumi kumi havikupigi chenga,bwana wee kuna utamu huoooo usioweza elezeka.
 
Ni wewe bwaana..

Msaidizi wangu Ni wewe..

From January to December najua wanilinda..Ni wewe

Tangu mawio Machweo Aliyenipa huu Mwangaza.. Ni wewe

Nyakati za huzuniiii,Furaahaa ZOTEE unanipa amani

Milimanii,Mabondeni KOTEE unakuwa nami.... (wouw huu wimbo mtamu asee)



Marafiki zangu mapacha kitabia

Makiseo & karena nyie vitoto nawapenda sanaaa.
 
Ninakuamania,Mwenye kuniwezesha

shari wanikingia,Vitani wanitosha...

Yesu UUU nipendaeee,Kwako nimekujiaaa..

ni wewe utoshaee Mwovu Akinijia..

Kifo chako msalabani,Kimeniweka huru...

Pendo lako maishani,SALAMA rohoni mwangu....



Moja ya nyimbo ambazo naweza agiza ugali bila mboga nikala ukashuka...
 
Back
Top Bottom