You waited: Travis Greene (my weekend gospel vibe)

Wivu hauruhusiwi teh, ila kwa kweli lile tabasamu nabaki kumtukuza Mungu kwa ajili yake
Jamani tuache utani T anatabasamu zuri sana, natamani waimbaji wote wangekuwa wanaimba kama T sasa unakuta mtu anamshukuru Mungu au anaabudu basi kakunja sura weeeee mpka basi,yaani lile tabasamu anakutafakarisha unaona kweli Mungu ametenda makuu sana maishani mwangu hata kama una shida unajikuta unafurahi tu.
 
Bana T can smile jamani. Unaweza ona tu anavyoenjoy kumtukuza Mungu, hata ndugu mtazamaji unajikuta unavutiwa kumsikiliza kile anachokideliver.

Nachekaga Pastor anapendaga kutukumbusha hii verse "nawe utajifurahisha kwa Bwana, naye atakupa haja za moyo wako". Sio muda wote unajiliza tu as if Mungu anakujibu kutokana na machozi yako; hadi unasahau kuwa grateful hata kwa ulivyonayo. Kwa kweli najikutaga najifurahisha tu, and it's vety true kuwa moyo uliochangamka ni dawa
 
Hahahah!! Pastor yuko sahihi kabisa yaani kuna nyakati twende mbele zake kwa kucheza tu na nyuani mwake kwa kufurahi tu,halafu iko nguvu kubwa sana katika kumsifu Mungu, ndo maana Mungu anasema yeye anakaa katika Sifa ila ndo tunajisahau sana, unakumbuka mara zote kwa wana wa Israel alikuwa akitaka kuwashindia alikuwa anawaambia wasifu tu wala hata wasibebe silaha zao,basi wao wakiserebuka Mungu anafanya yake,hata kwetu ndivyo inavyotakiwa yaani zile nyakati ngumu umeumizwa na mambo yamekutinga yaani wala hata usiombe na kulia, wewe imba au fungulia nyimboo za kumsifu na kumshukuru Mungu unashangaa utakavyojibiwa,halafu baada ya hapo amani unayoipata acha kabisa siyo ya nchi hii!! Yaani amani ya kipekee mno. Kulia kibinadamu kupo ila tujitie nguvu katika Bwana kwa kumsifu na kumtukuza yeye.
 
Kwa kweli acha tu, ule muda wa kusifu ni unasifu na kucheza hadi unahisi sio wewe. And yes baada ya hapo, hata kama kuna jambo lilikuwa limekutinga, unaanza kulitazama in a +ve way; kupanic kunapungua. Wakati wa mapito sio wakati wa kulalamika, ila ndo wakati wa kumtukuza Mungu zaidi. "Complain and Remain; Praise and Be Raised"
 
Roho imeniuma shemeji teh, nimetamani ningekuwa nyinyi; sijui ningepaa mweeh
Hahahaha,
Alipiga simu kama za kumi usiku hivi mimi nkaja kuambiwa na braza asubuhi yake.
Lakini hatukuwa na uwezo wa kwenda huko kwa wakati huo, nikasema there is always a next time.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom