Teh! teh! teh! ... Jamaa mleta hoja Revocatus Kashaga kaikimbia thread yake na kuingia mitini baada ya kuona swali alilouliza la kitoto!
Inaonekana hajaisoma JF vizuri - eti anasema "hakuna ku-cheat wala Dictionary" - hajui kuna watu wanaandika hiyo Dictionary ambayo yeye ndio anaitumia!
Siku nyingine ajipange vizuri kwanza ... kuna wajuzi huku!
Preta;
Avatar yako inanikumbusha Preta & Apollo & Phillipe& Brian & Octavia & Alphonso & Paco & Germana & Barbra &.....
Wanairudia Capital TV tena siku hizi nimeona