You have not Secured Loan (HELSB 2015/16)

You have not Secured Loan (HELSB 2015/16)

Maana yake hii ni kukosa Mkopo??
 
hiyo jipange mfukoni mkuu. Lakini lowassara alisema elimu bure mkawa mnasema haiwezekani chamoto mtakiona sasa
 
Elimu bureeee! Ngoja tusikie hao ICJ watasemaje kwani vielelezo vilishafika ila swala la chuo.......
... Loading....
Access dinied....
 
msaada jaman mi nmeingia kwenye account yangu ya heslb bdo iko vilevile haijabadilika chochote tatzo ni nini???
 
kila la kheli rais wangu Lowasa ushinde rufaa yako huko ICJ Mungu mwenyenzi akutangulie akusimamie ushinde ili turudie uchaguzi mkuu na wewe ushinde kwa 100% lengo kuu tusome bure mh.
 
wote tumeandikiwa ivo "YOU HAVE NOT SECURED LOAN kwo tuendelee kusubr walopata ni wale wa medicine tu
 
wote tumeandikiwa ivo "YOU HAVE NOT SECURED LOAN kwo tuendelee kusubr walopata ni wale wa medicine tu

Sio wote tulioandikiwa hivyo....kuna mtu nakaa naye hapa kapata mkopo na hayupo M.D
 
Sasa sis wengine hatujaona neno lolote kama hilo but lipo neno re-edit application
mwenye kufaham hii kitu fresh
 
Hamna hiyo ni first lot bhana ukiona hivyo Kuna second, third....
 
msaada jaman mi nmeingia kwenye account yangu ya heslb bdo iko vilevile haijabadilika chochote tatzo ni nini???

Tatizo hawajui hela ya kukukopesha itatoka wapi!? Vipi usharipoti chuoni?
 
samahan wadau mpaka muda huu sijajua kama loan board wametoa majina ya waliopata mkopo au vip?
 
Back
Top Bottom