You gotta watch this!

You gotta watch this!

Nice Art weaker but don't post again the bug post as you have doen yesterday, which was been erased.
.
.
Poa poa hamna mbaya, i actually emailed them, turns out they did it intentionally
 
napenda namie niweze fanya hivyo waweza nisaidiaje ndugu
 
napenda namie niweze fanya hivyo waweza nisaidiaje ndugu
Sijui, nikwambieje, i like to learn alot!,mm nilianzaga na youtube, then slowly mambo yanakuja. all u have to do is to wish to knw more
 
Imekaa vizuri...
Kama unaweza, tafuta JetStrike pack ya VC pamoja na Element 3D v1.5...
Utaweza kufanya rendering faster na efficiently.
 
Imekaa vizuri...
Kama unaweza, tafuta JetStrike pack ya VC pamoja na Element 3D v1.5...
Utaweza kufanya rendering faster na efficiently.
Yeah, i have flightkit lakini no element 3d, natumia tu resources zake, i do my 3D natively:
Screenshot (12).png
chek uzi wangu mpya, u`ll see : https://www.jamiiforums.com/tech-ga.../574888-project-funga-mwaka-3d-animation.html
 
Iko poa....umemodel mwenyewe?....am a fan,currently natumia 3dmax,na photoshop kwa architectural designs and renderings but soon nataka ku animate na maya.....do you know where can I get best tutorials?ImageUploadedByJamiiForums1388131016.094603.jpg
 
oel200e n wickerman guys are good at it asee!! Hope you'll share your future works with The Tech community!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom