cheusimangala
JF-Expert Member
- Feb 27, 2010
- 2,585
- 500
psychic+desperation =wehu! akishapata makalio feki atampa sharti lingine (una kifua kikubwa,kakatwe manyonyo!). muambie ampe na mumewe sharti analotaka yy,aongeze kiungo chaguliwa au ndani ya deadline waangalie kama wameshindwa wote wapeane adhabu (kila mtu akalete choice yake!!)
naomba jamani mnielekeze hizo dawa nitazipataje na zinaitwaje wala msitaje majina yenu ,nielekezeni tu ili niinusuru ndoa yangu maana mo mpaka sasa sijapata hata kazi huyu mume wangu ndio kila kitu kwangu
nisaidieni jamani
Aiseeee....kama hatanii basi kazi anayo.
Ndo matatizo ya kuolewa ili upate kula...mume mwenyewe anajua mke hana ujanja...mke nae ndo huyo anakubali kuangukia pua.Achukue hizo laki mbili alafu arudi kumwambia kaambiwa kuna dawa inayofanya kazi instantly ila ni ghali kidogo kwahiyo aongeze kilo kadhaa...then achukue hizo pesa akaanzishe hata kabiashara kake ka mitumba aanza maisha yake mwenyewe.
naomba msaada kwa wadau na kwako zeze pia, mimi ni mwanamke ,niliye katika ndoa kwa miaka 6 sasa, na nimebahatika kupata watoto 2 tayari. ila nina tatizo kubwa saana kwenye ndoa yangu, kutokana na kwamba mume wangu amekuwa limbukeni saana wa ,wanawake wa nje wenye makalio makubwa kiasi kwamba mara kwa mara nimekuwa nikimfumania na wanawake wa aina hiyo, lakini aliponichumbia na kunioa alijua kabisaa kuwa mimi nina umbo la kawaida lakini ghafla alianza kunishawishi nitafute dawa za kuongeza makalio , kiukweli swala hili limekuwa gumu kwangu saana kutokana na maadili na malezi niliyokulia, ajabu juzi nimemfuma tena na mwanamke mwenye makalio na jibu alilonipa mi mwenyewe nilichoka kwani aliniambia chukua hizi laki 2, nifanye juu chini nipate dawa za kuongeza makalio...na kama makalio yangu hayataongezeka kwa miezi miwili basi nijiandae kumpokea mke mwenzangu. shamim nampenda saana mume wangu siko tayari kabisa kuachwa mungu atanisamehe naomba jamani mnielekeze hizo dawa nitazipataje na zinaitwaje wala msitaje majina yenu ,nielekezeni tu ili niinusuru ndoa yangu maana mo mpaka sasa sijapata hata kazi huyu mume wangu ndio kila kitu kwangu
nisaidieni jamani
NIMEIKUTA HII HABARI KWENYE BLOG YA 8020 NIKAONA NISHARE NA NYIE.
SIJAPATA KUONA MWANAMKE MGONJWA KAMA HUYU,AMENISIKITISHA SANA,YAANI SIAMIN KAMA MTU MWENYE AKILI TIMAMU ANAWEZA KURUHUSU VIDOLE VYAKE KUANDIKA KITU KAMA HICHI
huu ndio ushauri, ila mtu kama mimi nikigundua umenidanganya nakuchinja!

Aiseeee....kama hatanii basi kazi anayo.

Ndo matatizo ya kuolewa ili upate kula...mume mwenyewe anajua mke hana ujanja...mke nae ndo huyo anakubali kuangukia pua.Achukue hizo laki mbili alafu arudi kumwambia kaambiwa kuna dawa inayofanya kazi instantly ila ni ghali kidogo kwahiyo aongeze kilo kadhaa...then achukue hizo pesa akaanzishe hata kabiashara kake ka mitumba aanza maisha yake mwenyewe.
Code:naomba jamani mnielekeze hizo dawa nitazipataje na zinaitwaje wala msitaje majina yenu ,nielekezeni tu ili niinusuru ndoa yangu maana mo mpaka sasa sijapata hata kazi huyu mume wangu ndio kila kitu kwangu nisaidieni jamani
kwani ka kwambia ya kuwa utaachika au ni wasiwasi wako? Vyema akuache utapata bora zaidi ya huyo humu humu jamvini......mpige kibuti ashike adabu yake.............kama anayo........................kama hana ashike masikio yake.............kama anayo na kama hana........
- šound:

Code:naomba jamani mnielekeze hizo dawa nitazipataje na zinaitwaje wala msitaje majina yenu ,nielekezeni tu ili niinusuru ndoa yangu maana mo mpaka sasa sijapata hata kazi huyu mume wangu ndio kila kitu kwangu

nisaidieni jamani

kwani ka kwambia ya kuwa utaachika au ni wasiwasi wako? Vyema akuache utapata bora zaidi ya huyo humu humu jamvini......mpige kibuti ashike adabu yake.............kama anayo........................kama hana ashike masikio yake.............kama anayo na kama hana........

hizo ni riwaya tu wewe cheusi, hakuna ukweli hapo, ila na wewe upunguze uzururaji, huko kwenye blog sijui ya nanihii ulifuata nini? ona sasa unavyofungwa kamba na watoto wa mjini!!

mi naona kama huyu anafukuzwa sema tu kwa vile ni tegemezi nkaishia kuwa kinganganizi.

huyo mume anaonekana ni kibiriti kisichotingishika mbele ya huyo dada,hivyo dada hawezi kumtisha kwa sharti wala nini,ila kazi ipo.