Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 34,061
- 79,423
Hamjambo!
Unaweza kufeli kama Mwanaume, kukosa pesa, kushindwa kuyaweka maisha yako kuwa mazuri. Lakini kamwe usikubali kushindwa kuwa Baba Bora.
Kumpa mtoto wako, damu yako upendo hakuhitaji uwe na mamilioni ya peas. Hakuhitaji uwe na gari, hakuhitaji uwe na ghorofa.
Kunahitaji upendo wako.
Uwepo wako,
Macho yako,
Uangalizi wako,
Mafunzo yako,
Kwa leo ni hayo tuu!