Pancras Suday JF-Expert Member Jun 24, 2011 8,143 3,830 Jul 6, 2016 #3 Basi huwezi kuvunja hiyo record kwa sababu kwa millisecond uliyozaliwa kuna watu kibao walizaliwa na wewe
Basi huwezi kuvunja hiyo record kwa sababu kwa millisecond uliyozaliwa kuna watu kibao walizaliwa na wewe
Mr Q JF-Expert Member Aug 16, 2012 16,137 33,485 Jul 6, 2016 #4 kuna wengine ulizaliwa nao na ni njiti hawajakomaa kama wewe