Na matatizo yote nchini, JK anaondoka akiwaacha watu wanakufa muhimbili kwenda kukaa kwenye kachumba na watu kama hao. Hivi jamani class hiko wapi? priorities ziko wapi. Huyu mwanamme sijui yukoje kusema kweli. Nashindwa kabisa kuelewa ubongo wa huyu mtu. Ni aibu na janga la taifa. Aibu