You be the judge

huyu mama anatafuta uchokozi kwa JK, mwanaume rijali hawezi kuvumilia hiyo kitu..
 


Na matatizo yote nchini, JK anaondoka akiwaacha watu wanakufa muhimbili kwenda kukaa kwenye kachumba na watu kama hao. Hivi jamani class hiko wapi? priorities ziko wapi. Huyu mwanamme sijui yukoje kusema kweli. Nashindwa kabisa kuelewa ubongo wa huyu mtu. Ni aibu na janga la taifa. Aibu
 
Last edited by a moderator:
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom