"You are not my type"

Alaf unakuta mtu umezoea ku lead a humble and normal life siku mtu akikufahamu vizuri na the true you and the life u lead.....unaona kauli zina badilika and with all these fake love and all.

I seriously hate fake sympathy nd fake women wit passion.
niko hapa mpk sasa......anapata shida........
 
Hahaha huwa raha sana aliyekuona sio size yake but mambo yakinyooka anakupigia saluti, safi sana, soma sana, tafta pesa watajileta wote, watu kuita mara mzee, kifaru, mkuu, boss na majina kibao
Si kama ninavokuita bae.. usingekuwa nazo wala us ingenious.. teh
 
Wanaongeaga tu hawamaanishi,

Enzi hizo kuna kamoja kana pozi za kivideo queen kalijisemeshaga hivyo sijui ilikuaje tu baadae tukajikuta room tumependeza ndani ya uniform za bustani ya Eden

Kalichezea dudu washa mpaka kakanena kwa lugha majina yake yote matatu ya cheti cha kipaimara.
 
Sijawahi kuambiwa kwasababu sijawahi kutongoza mpaka niwe 90% sure she is ready to mingle.. Pia sijawahi pigwaga kibuti kwenye mitongozo yangu yote..

Ila hii ya kusubiri mpaka niwe 90% sure kulinikosesha mtoto mmoja hivi mpaka leo najilaumu kwanini aliniponyokaga..
 
Mkuu I believe in the power of tongue, never use it to hurt other people's feelings. In that case, watch the outcome of those who tell you "you are not my type".
It is very true Sky! Hiyo ni insubordination! Si uungwana! Pole kwa waliyoyakuta esp. ya kuambiwaana kwa ana. Wengine huonyesha kwa vitendo na viswaliswali. Na hii ni common kwa jinsia Fulani kwa leo sitaitaja!
 
Pole sana mkuu
 
You deserve to be The Senior Boss. Wasipokuelewa tu basi Itabidi tiwatie vidole tuwazibue masikio
 
I bet your Pops was a Tycoon when he first met your Mom ,Damint some people are just lucky .....
They met when my pops was just a village broke ass nigga, but with a fighting spirit. They hustled together, and by the grace of God, Leo wanachekea kivulini. Wanapitia ups and downs , but they getting stronger everyday. Pops has been blessed with such a "ride and die woman". And nafurahia jinsi mzee anavyomuamini mama with their properties, hana presha hata. Mungu nitunzie wazazi wangu uuuh
 
Preach the truth brother.
 
It is very true Sky! Hiyo ni insubordination! Si uungwana! Pole kwa waliyoyakuta esp. ya kuambiwaana kwa ana. Wengine huonyesha kwa vitendo na viswaliswali. Na hii ni common kwa jinsia Fulani kwa leo sitaitaja!
Whatever goes around, comes back around. Utakuja kuumizwa wewe, hata kama uko na mtu huna feelings nae muombe Mungu akupe suluhisho, na inawezekana mmoja wenu akahamishwa, au ukapata nafasi ya kwenda kusoma, naturally mnakuwa mmesolve the issue.
 
Hahahah maneno ya watoto wasiojua na kuelewa maisha....hao hao baadae huwa yanatokea ya kutokea kwao
 
Hahahahahaha ma man , not really some are just lucky as i said before ,her mom might be one of em luckiest people on earth
And what this "behind every successful man there is a woman" phrase for?? Man, this ladies bwana...
 
Reactions: kui
kwel si wa dunian....
 
Maisha yakibuma hakawii kukutafuata na kukuambia I didn't mean that, babe I love you so so much😡😡😡
Hahahahahahaha hadi Uzee huu sasa nimeshafuatwa mara zaidi ya tano na hao watu ambao waliniambia hivyo hivyo. Mmoja tulikua wote UDSM siku moja akaniambia Mwanaume gani unabip, wanaume huwa hawabip. Nikajitahidi kujitetea kuwa sikumbeep Ila yeye Ndio alibipu Wakati nampigia niligundua kuwa line ile haikua na Pesa ya kutosha nikakata ili nimpigie tena, doooooh. Miaka michache baadae Hahahahaha anasema Mimi Ndio nilikua chaguo lake eti but It was too late.
 

Thank you and thank you again ,you hit were it hurts ,instead of pushing away a broke ass Negro turn that Mf in the most successful human being ever.

The power is in your hands that is what i believe .

You get a dumbass woman behind your back you aint gonna make it or else you will make it in a hard way .

You get a brave woman and everything will be absolutely amazing.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…