Yote njaa

ila hatuumwi tunakula tu hivyo hivyo na siku zinaenda....!!

Kuna magonjwa huwa hayaji kama malaria au tumbo la kuhara...

Ugonjwa kama kansa kwa sisi Wamatumbi tusiochekiwa afya ujikuta upo nao steji za mwisho huko...

Hivyo kutokuumwa umwa haimaanishi kuwa tungali salama...
 
mkuu kuna magonjwa ya kimasikini na magonjwa ya kitajiri haya yapo sisi ndio tunayoyajua
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…