Tuanzie Hapa
Hatuna kitu kinaitwa Remex katika Ulimwengu wa Music
-Nadhani hapo ulimaanisha Remix.
Hatuna kitu kinachotambulika kama
Innos'b ~ Diamond platnumz
Tunatambua kwa (, ) kama wameiandaa pamoja/Wameshirikiana.
Na ( Ft) Endapo mmoja kamshirikisha mwingine
Innos'B ft Diamond platnumz.
Mwisho.
Kuhusu Ngoma bora ya mwaka Wabobezi wa haya mambo watakuja.