Yondo Sister: Malkia wa soukous

Ningekuwa na pesa
Ningenunua ndege
Twende kuishi tu
Karibu na mwezi...
Kwa sababu watu wasituuzi...
 
Bado tunaiga muziki ya nje muziki wa Amapiano (Kusini) na Afro Pop (Magharibi hasa Nigeria).
Tofauti ya sasa na wakati huo, sasa mitaani, kwenye radio na TV tunapiga muziki wa wasanii wetu kuliko wa nje.
Wakati huo zilikuwepo bendi za muziki wa dansi wa kitanzania lakini zilianza kupoteza mvuto taratibu sababu ya kutopigwa Sana mitaani na redioni.
Wasanii wetu walichelewa kuiga kutengeneza video bora Kama wakongo, waafrika Kusini na wasanii wa Marekani na Ulaya.
 
We have a choice now sio kama then.., ukiongelea sampling kila mtu anafanya hata mfalme wa POP Wacko Jacko alikuwa anafanya case in point Wanna be Startin' Somethin kwenye mamase mamasa makossa ni Manu Dibango..,

Anyway point kuu sasa hivi tuna export pia sio ku import pekee, kufanya kazi zetu zikasikilizwa worldwide hakuna tena wakati ambapo mziki wa ndani umetembea kama sasa... (Ingawa this might not be because of talent pekee bali teknolojia na uwezekano wa mtu kumpakulia mlaji directly kwenye sikio lake bila kupitia studio kubwa kubwa)
 
Kweli.
 
Yondo sister mi nilikuwa najua ndio Cynthia rothrock
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…