Jack Daniel JF-Expert Member Joined Sep 23, 2021 Posts 4,619 Reaction score 18,861 Apr 2, 2023 #21 donga said: Yoga kawatungia great thinker Click to expand... Ni kweli
D donga JF-Expert Member Joined Sep 13, 2017 Posts 2,560 Reaction score 5,243 Apr 2, 2023 Thread starter #22 Jack Daniel said: Ni kweli Click to expand... Umeona enhee
barakuda JF-Expert Member Joined Dec 19, 2016 Posts 420 Reaction score 438 Apr 2, 2023 #23 Unawawekaje kwenye mzani mmoja wakati simulizi zao zipo kwenye muktadha tofauti?
L Lucas Mganda JF-Expert Member Joined Mar 13, 2016 Posts 254 Reaction score 180 Apr 2, 2023 #24 Slowly said: Basi hafai kufananishwa na omughaka whenye Hits 4 Click to expand... Sorry mkuu Mimi nilisoma Ile ya Gabriel zingine nazipataje
Slowly said: Basi hafai kufananishwa na omughaka whenye Hits 4 Click to expand... Sorry mkuu Mimi nilisoma Ile ya Gabriel zingine nazipataje
Vishu Mtata JF-Expert Member Joined Dec 15, 2019 Posts 21,340 Reaction score 46,131 Apr 2, 2023 #25 Wote wako safi, kwa masimulizi UMUGHAKA yuko njema sana. Ukiachana na hiyo kazi yake ya bodaboda, ana kipaji cha uandishi. yoga yuko njema kwa codes aisee nae ni mtunzi mzuri sana ni vile tu nchi yetu haina uhuru baada ya kupublish habari iliyoigusa serikali.
Wote wako safi, kwa masimulizi UMUGHAKA yuko njema sana. Ukiachana na hiyo kazi yake ya bodaboda, ana kipaji cha uandishi. yoga yuko njema kwa codes aisee nae ni mtunzi mzuri sana ni vile tu nchi yetu haina uhuru baada ya kupublish habari iliyoigusa serikali.
M Madibira 1 JF-Expert Member Joined Jan 6, 2023 Posts 381 Reaction score 866 Apr 2, 2023 #26 donga said: Yoga kawatungia great thinker Click to expand... Hakuna lolote anaokota okota tu vijitukio na kutungia stori Kwa tu codes.
donga said: Yoga kawatungia great thinker Click to expand... Hakuna lolote anaokota okota tu vijitukio na kutungia stori Kwa tu codes.
F famkajr10 Member Joined Feb 19, 2020 Posts 17 Reaction score 2 May 2, 2023 #27 brazaj said: Huyu yoga akiitwa kupokea zawadi atatokea? Click to expand... Jaman hebu nisaidie kuipata hzo story za umughaka mi cjajua kuitumi jf vizuri nataka kuisoma hzo story zake lakin kila nikisach napata ktk comment kama hivi.
brazaj said: Huyu yoga akiitwa kupokea zawadi atatokea? Click to expand... Jaman hebu nisaidie kuipata hzo story za umughaka mi cjajua kuitumi jf vizuri nataka kuisoma hzo story zake lakin kila nikisach napata ktk comment kama hivi.