Asee hivi viumbe km Messi na Ronaldo ukimsoma mmoja...unaweza mkataa mwingine...tena ukimfuata mwinginee unaweza mkataa wa mwanzoNawapa marks nusu nusu 0.5 Yoga na 1-0.5=Omughaka
Yoga kawatungia great thinkerYoga codes nyingi mpaka vichwa vinauma, umughaka achukue Kura yangu.
MojaHuyo Yoga ana story ngapi ??
Shida hawa viumbe km wanatoshana nguvu🤣🤣Mmoja hapo anatupitisha kwenye maisha ya kawaida kabisa ya mtanzania na kwa hilo yupo juu
Na mwingine anatupitisha kwenye upande wa pili wa mifumo ya kisirikali ilivyo na namna inavyo tenda kazi na kwa hilo yupo juu.
MARKS
50/50 kila mmoja anamkamilisha mwenzake
Umeona.... sema uzuri wa UMUGHAKA anakupa heavy lunch ......yoga anaacha arostoWako njema wote kila mmoja ana namna yake ya uandishi na wote wanafurahisha kusoma maandiko yao
Basi hafai kufananishwa na omughaka whenye Hits 4Moja
Yule ile km isidingo haiiishiBasi hafai kufananishwa na omughaka whenye Hits 4
Huyo aligusia mambo ya kisiasa ndo mana ambayo watu wengi bado wanataka kujua kilichotokea nyuma ya paziaYule ile km isidingo haiiishi
🤣🤣🤣🤣japo alipigwa na astride ubungo guestMuache Umughaka. Watani zangu wana akili sana. Akiwa mjingamjinga anakua tu mwenyewe kaamua.
Analyse tutampambanisha na makanyangaKwenye list ongeza hili jina Analyse