Yesu rudi basi

Yesu rudi basi

Mndengereko

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2011
Posts
7,319
Reaction score
3,435
1920012_508659419246049_1172075942_n.jpg
 
nepi mchezo,tuzidi kumsubiri

Ukijibiwa km ulivyotoa kashfa wewe mtajazana hapa na wenzako muanze kudai mnatetea Imani yenu!

Tujifunze Kua wastaarabu ktk Kila Jambo hivi inaonyesha ndio jinsi ulivyo!

Na Kwa kukusaidia ni kwamba ata Quraan inatambua Kua Yesu atarudi na ndio itakua kiama! Sasa mleta hoja amekosea nini kusema Yesu Rudi Basi?
 
Nimechoka na mengi ya Dunia hii Yesu Rudi unichukue!

ukiwa unaipenda pepo huwezi kuogopa kifo wala siku ya mwisho.
Mi nimechoka na vipigo kila siku timu ninayoishangilia inakula vichapo jana na madrid nae holla
 
Ukijibiwa km ulivyotoa kashfa wewe mtajazana hapa na wenzako muanze kudai mnatetea Imani yenu!

Tujifunze Kua wastaarabu ktk Kila Jambo hivi inaonyesha ndio jinsi ulivyo!

Na Kwa kukusaidia ni kwamba ata Quraan inatambua Kua Yesu atarudi na ndio itakua kiama! Sasa mleta hoja amekosea nini kusema Yesu Rudi Basi?
sina imani mimi
 
Hayo ya nepi umeyajuaje?

Kuna watu humu ukikomaa nao ni kama unampigia mbuzi gitaa, achana nae kama anajielewa atatambua upuuzi wake ulipo. Kubishana nae wengine ndio kusudi lao kutwa nzima kukosoa vitabu vya wenzao wakati vyao vipo.
 
Ni kweli Mkuu! Yeye anajiona mwelevu sn wakati aliko lala na kuamkia watu tumeshapita huko! Nilikua namshauri tu awe Na busara sio kila aonapo Yesu Basi inakua shida!
 
Kuna watu humu ukikomaa nao ni kama unampigia mbuzi gitaa, achana nae kama anajielewa atatambua upuuzi wake ulipo. Kubishana nae wengine ndio kusudi lao kutwa nzima kukosoa vitabu vya wenzao wakati vyao vipo.
like japo sina kitabu ni mfuasi wa mizimu mimi sasa sijui ni kitabu sijui ni mizizi
 
Back
Top Bottom