Yesu Na Maria..............Watu Wana Vipaji !.

Hizi picha nduki wazee wa kutoa lock wakipita hapa wayaona nyotanyota tuu

Hahahaa yani ni duble duble kabisa au.............ngoja waje kiongozi la sivyo itabidi tuwabadilishie maudhui mkuu.
 
Last edited by a moderator:
picha ya juu kabisa mbona kama nyani?
Hii ni kashfa kwa waumini.
Nashauri hii picha iondolewe tafadhari.
 
Wenzetu vichwa wanatumia kufikiria...sisi tunafugia nywele
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…