Chadema 2030
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,916
- 3,747
Bibilia na historia inatueleza, kuwa wakati Yesu alizaliwa mfalme Herode alikuwa na hofu na aligiza watoto wote wadogo wa kiume wa umri wake kuuawa. Na malaika alimwagiza Yusufu na Maria kwenda Misri, baada ya mfalme kufa ndio walirejea