LILENDI
JF-Expert Member
- Oct 27, 2013
- 1,400
- 497
Unaishi wapi?
Naishi Tanzania, Dar es Salaam. Umbali sio tatizo kwangu

Powa nitaku-PM basi.
Jamaa amezoea MSONDO za kizungu zinamzingua!!!
How am i supposse to live without you:Micheal Bolton
Banned!!Where is BAK when you need him??!
samahani, hivi kuna anaefahamu sehemu nzuri ya kozi ya kiingereza? napitwa na mengi sana!

mbona nyimbo yenyewe ni mbaya au ni kwasababu mimi sijui kiingereza?
Nalog off
Ukipata jibu nipe, wahanga tupo wengi..
mbona nyimbo yenyewe ni mbaya au ni kwasababu mimi sijui kiingereza?
Nalog off
Nakubaliana na wewe.labda huijui ndo maana.
hilo nimeliona bi dada.umeona eeh! hahahahahahahahahah!!!!!!!!!