jMali
JF-Expert Member
- Nov 9, 2010
- 8,412
- 5,013
Hivi inashughulikia magaidi au raia wasio na hatia kama watoto na wanawake
Hamas wanatupa kombora wakiwa mashuleni na hospitali ikijua kabisa israel itajibu hapo hapo, nani mwenye hatia hapo?
Hivi inashughulikia magaidi au raia wasio na hatia kama watoto na wanawake
"Taifa teule la mungu"
Hawa watu ni shida katika hii dunia
Biblia imesema.Nani kasema?
Biblia imesema.
Nani kaandika bibilia?
Msisahau pia kuangalia unyama wa palestine na wao ndio waliowaanza wenzao kwa kuwauwa vijana wao watatu bila hatia.
![]()
Huyo ni muisrael anaburutwa na wapalestina.Amazingly, kuna jamaa humu JF 'wanawafagilia' sana Hamas kwa vitendo vyao hivi, vitendo dhidi ya wapalestina wenzao, yaani wenyewe kwa wenyewe..!!!
Huwezi kuruhusu waisraeli kuwaua waparestina wasio na hatia sababu Sadam Hussein aliuwa wakurd, haya yote ni matukio ambayo yanapasa kukemewaHebu jikumbushe hii hapa ya miaka ya 1980's..
Halafu tafuta ili uone kama waliohusika ni Jews..!!
Halafu lete mrejesho..!!
================================
Chemical Weapons Against Kurds.
As early as April 1987, the Iraqis used chemical weapons to remove Kurds from their villages in northern Iraq during the Anfal campaign.
It is estimated that chemical weapons were used on approximately 40 Kurdish villages, with the largest of these attacks occurring on March 16, 1988 against the Kurdish town of Halabja.
Beginning in the morning on March 16, 1988 and continuing all night, the Iraqis rained down volley after volley of bombs filled with a deadly mixture of mustard gas and nerve agents on Halabja.
Immediate effects of the chemicals included blindness, vomiting, blisters, convulsions, and asphyxiation.
Approximately 5,000 women, men, and children died within days of the attacks.
Long-term effects included permanent blindness, cancer, and birth defects. An estimated 10,000 lived, but live daily with the disfigurement and sicknesses from the chemical weapons.
================================
Amazingly, kuna jamaa humu JF 'wanawafagilia' sana Hamas kwa vitendo vyao hivi, vitendo dhidi ya wapalestina wenzao, yaani wenyewe kwa wenyewe..!!!
Wale vijana watatu wa Israel ambao Hamas waliowauwa walikuwa na hatia gani?Sasa ni kwa nini wanauwa raia wasio na hatia badala ya kuwatafuta hao Hammasi walioua? Waisraeli ni janga kwa dunia