Hii habari nimeipata toka Mwanachi.
Jana Spika wa Bunge, Anne Makinda aliitisha mkutano wa waandishi wa habari na kusema: Siyo kwamba tutaanza kutoa, tulishaanza kutoa na Rais (Jakaya Kikwete), ameshatoa kibali chake na mbunge atalipwa katika vikao tu.
Spika Makinda, jana aliwaambia waandishi wa habari ofisini kwake kwamba wabunge wameshaanza kulipwa posho mpya za Sh200,000 kwa kila kikao kuanzia Bunge lililopita akisema ni baada ya idhini ya Rais.Alisema posho hiyo iko katika waraka wa Serikali kuhusu posho uliotolewa Julai mwaka juzi akisema wenyeviti wanapata Sh200,000, wajumbe Sh150,000 na wengine Sh100,000"
My take:
1. Je, kuna uwezekano kwamba office ya Speaker kwa kushiriakina na office ya waziri mkuu wameamua kuwa posho mpywa zitalipwa with or without signature ya rais? sheria inasemaje kama jibu ni ndiyo?
2. Kuna uwezekano rais ameridhia posho mpya lakini anacheza 'cheupe chekundu' kwa makubaliano na Waziri mkuu ili asionekane mbaya? Binafsi naamini rais hawezi kuwakatalia wabunge wa CCM maana bila wao Ikulu hapatatosha.
3. La muhimu zaidi, kama ikigundulika kuwa kweli rais alibariki posho mpya (either kwa ku-sign yeye binafsi au kwa kumruhusu waziri mkuu a-sign) huku kurugenzi ya mawasiliano ikisema (kwa maandishi) kuwa rais haja-sign posho mpya nani awajibike? rais au waziri mkuu? au wote wawili?