Dada si ndiyo ametoka kukutenda huyo?[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]anakuacha nyumbani unaandaa chai anapita akijitangaza yupo single?[emoji119][emoji119][emoji119]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi hata sijui nimeuliza tu kama unamjuaNani huyo ili nimwondoe haraka kwenye list wabaki watatu?
Huwa namhisi hisi sana Inna maana tabia zake sizielewi kama ni yeye mke wa Saint Ivuga basi namtimulia mbali [emoji21][emoji21]
Valentine's day ni kwa ajili ya 20-29 girls.. mliobaki mtasherehekea siku ya mama duniani.Ndio shida ya kutoka na vijana akiona mabinti anakukata mchana kweupe[emoji85][emoji85]
Sent using Jamii Forums mobile app
Loh leo naona umeamua kunichana laivuValentine's day ni kwa ajili ya 20-29 girls.. mliobaki mtasherehekea siku ya mama duniani.
Somebody hacked this Acc
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Naomba nije kulala hapa
huyu anaonekana ni mgeni humu.. ila tumuombee aolewe mapema
Yaani mdogo wangu aolewe?huyu anaonekana ni mgeni humu.. ila tumuombee aolewe mapema
Atarudi tu, subiri siku ya leo iishe!
Hahahahahahili group lina malaya sana.....!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]me najitoaTumeshafika wanne sasa.
Wewe ledada joanah na mimi hapa.
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Sent using Jamii Forums mobile app
Taratibu dyadyaa
[emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]Nani huyo ili nimwondoe haraka kwenye list wabaki watatu?
Huwa namhisi hisi sana Inna maana tabia zake sizielewi kama ni yeye mke wa Saint Ivuga basi namtimulia mbali [emoji21][emoji21]