Nyakageni
JF-Expert Member
- Feb 1, 2011
- 15,045
- 5,092
Hata ingekuwa Mimi ndie Philip Marmo, mbele yangu zimekaa njemba za kiarabu kuubwa na mindevu kibao, lazima niongee lolote la kuwafanya wafurahi ili wasinilipukie na mibomu ya kujifunga kiunoni
ha ha haaaa